Najishtukia vipi wakati wewe ndio umeniquote Shosti??? Imebidi niulize je ulikopwa na mimi [emoji23][emoji23]
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa ππππ!!Hata wao wanasema kama weweπ na bado wanakula 30k
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa ππππ!!Hata wao wanasema kama weweπ na bado wanakula 30k
Ni wao aiseee!! Ndiomana story zimejaa.!!Hata wao wanasema kama weweπ na bado wanakula 30k
AlooooohTupate wadhamini [emoji1241]View attachment 2893529
Una hamu ya kukulwa ww ila utaukalia soon from jf π
Bado tunaupenda uzi huu jamani, kama tulivyoahidi tupo nao mpaka mwishoJamani msimuite atamalizia kukata shingo ya uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Namtania tu Lamomy, sija attack mrebo yoyote hapa, sawa cheupe.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£! Kwamba hatuna lolote tunajiongelesha tu hapa ππππ!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na nitasema tyuuh, hiyo tuzo nipewe harakaa kabla sijafa, natakaa niishike kwa mikono yangu.Udugu bado hujasema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila humu leo pambe..!!! Kumbe ulipigana vita 3?? Vita ya dunia yenyewe iliishia 2 lkn ww 3??
Upewe tuzo udugu wangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu mnatunza mafile π€£π€£π€£π€£π€£Tupate wadhamini [emoji1241]View attachment 2893529
Alooooππππ€Mimi siliwe na takataka za humu naliwa na Mali safi kutoka U.S.Aπππ
Nishushe pdf lako?Ni wao aiseee!! Ndiomana story zimejaa.!!
Zangu ushawahi kuzisikia? Kuna mtu nishawahi kukutana naye humu.!?? Hao cheap waendelee kuchipuliwa tyuu!! π€£π€£π€£π€£
Akija huyo kikao kinaisha rasmi πππBado tunaupenda uzi huu jamani, kama tulivyoahidi tupo nao mpaka mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka kwa nguvu mno kaka.... umepigwa na kitu kizito au wewe ndio upo USA???Aloooo[emoji38][emoji38][emoji38][emoji848]
View attachment 2893531
Tena akija ameamkia kushoto mbona mods wenyewe watasalenda na kufunga kikao[emoji3][emoji3][emoji3]Akija huyo kikao kinaisha rasmi [emoji23][emoji23][emoji23]
Alooooπππ, mi hata laki 5 ya pamoja sija wahiπππHii ya Vocha tu kwa week hiiView attachment 2893532
Wiiii naomba aftatu ya vochaHii ya Vocha tu kwa week hiiView attachment 2893532
πAlooooππππ€
View attachment 2893531
Ana maandishi machafu mno na uzi utafungwa πππAkija huyo kikao kinaisha rasmi πππ