ERIK
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 623
- 315
Mimi ni Mvulana mwenye miaka 28, Naishi dar! Natafuta msichana aliye serious tuweze kuwa katika mahusiano ya kimapenzi nihitaji kuanza kujenga Familia naye! nimekaa mpweke kwa muda wa zaidi miez 9 sasa nikijaribu kuwasoma na kuelewa wanawake!
kama unadhani na nitadhibitisha kuwa wewe ni wife material tutaingia katika ndoa!
Naomba aliye serious ani PM ,
Naomba awe mrefu, asiwe mnene saaana!! hata kama kuna mtu atasoma hapa na ataweza kunisaidia kupata nimshukuru na kumzawadia kama rafiki au ndugu aliyetoa msaada katika maisha yangu!!
NASHUKURU KWA USHIRIKIANO UTAKAO ONEKANA!