Love

Yasmin

JF-Expert Member
Jul 28, 2011
241
57
Can someone fall in love with 2 people at the same time?bcoz there this guy who is confused he loves two girls he doesn't know who to choose.so he's asking me for advice.pals can you tell how to advice this guy
 
Hiyo unaiita love au kutamani. Sidhani kama hapo anawapenda ila kuna mmoja anapendwa na mmoja anatamaniwa
 
Quote
"Now I'm in love with these two chicks
I don't know which one to pick
My feelings for them both are getting thick
Now am I wrong cause I don't want to lose none of them
Am I confused cause I don't want to chose one of them
It's no doubt I think about my honeys everyday" by LOST BOYS

so i think ur friend is lost II.
 
Hivi ukiwa sema na
boyfriend au mume...
Je ni nini kinacho kuzuia
usimpende mtu mwingine??
au kama ilivyo ulizwa hapo juu ( fall in love)??

AD sielewe kwa wengine ni ile tu the way najijua
when in... i am all in... yaani huyo ndo utawala
akili yangu, mipango yangu, fikra zangu, na
mara nyingi nikijaribu hata tu thubutu mpima
na wengine, naona hakuna kabisa!! Hua kabisa
najisikia raaaaha kupitiliza...

I can not imagine feeling that for two pple... naweza kufa... Dah!
 
In short huwezi.
lakini unaweza kuoa wote wawili hata wanne ikibidi
Hapo kuna vitu vitatu kwa wakati mmoja!
Tamaa ya mwili, uroho/ufisadi na upendo
hivyo vitu vi3 vyaweza kuishi nyumba moja kwa urafiki wa mashaka kama ccm na kafu
 
Hivi ukiwa sema na
boyfriend au mume...
Je ni nini kinacho kuzuia
usimpende mtu mwingine??
au kama ilivyo ulizwa hapo juu ( fall in love)??

AD, Tunapendaga saana, tusidanganyane! Ila inakuwaga ni temporary LOve
 
AD sielewe kwa wengine ni ile tu the way najijua
when in... i am all in... yaani huyo ndo utawala
akili yangu, mipango yangu, fikra zangu, na
mara nyingi nikijaribu hata tu thubutu mpima
na wengine, naona hakuna kabisa!! Hua kabisa
najisikia raaaaha kupitiliza...

I can not imagine feeling that for two pple... naweza kufa... Dah!

Nimefurahi, nimefurahi, umenifurahisha, nimetamani saa saaaaana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom