Love with reasons!


Ndugu yangu hakuna ambaye hajawahi kuusikia usemi.."mapenzi hayana formula"... Sasa ukianza kujitengenezea hizo formulas zako kichwani na kujikusanyia statistics za impossibles, hapo ndo utata unapoanza.
Hebu anza kwanza kwa kujenga urafiki na huyo mtu na kutaka kumjua zaidi (yaani kumjua directly na sio kupitia kuulizia kwa watu wengine na wapenzi wao).... akishakua rafiki yako hautaona tena haja ya kujiuliza haya maswali. Wewe una marafiki katika jamii yako, kazini, shule, hivi "uliwapendea nini? au walikupendea nini? " Si unaona? It doesnt make sense. Ndo hivyo hivyo sasa na kwa mapenzi (siongelei mapenzi ya kwenye tvs na movies).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…