Love with reasons!

Eti jamani ni kweli kwamba hakuna lov without a reason?eti unapenda/wa kwa sababu?! Eti unampenda m2 kwa sababu ni mweusi,mweupe,mrefu,mfupi yuko bright skul,ana fedha,gari,nyumba,kazi n.k? Manake hiyo factor iliyomfanya akupende iki-disappear ndo mwisho? Je,kweli hapo kuna tru love?!

Ndugu yangu hakuna ambaye hajawahi kuusikia usemi.."mapenzi hayana formula"... Sasa ukianza kujitengenezea hizo formulas zako kichwani na kujikusanyia statistics za impossibles, hapo ndo utata unapoanza.
Hebu anza kwanza kwa kujenga urafiki na huyo mtu na kutaka kumjua zaidi (yaani kumjua directly na sio kupitia kuulizia kwa watu wengine na wapenzi wao).... akishakua rafiki yako hautaona tena haja ya kujiuliza haya maswali. Wewe una marafiki katika jamii yako, kazini, shule, hivi "uliwapendea nini? au walikupendea nini? " Si unaona? It doesnt make sense. Ndo hivyo hivyo sasa na kwa mapenzi (siongelei mapenzi ya kwenye tvs na movies).
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom