Love vs age? or Gold diggers?

Haaa si naona miss strong ameniita apa kuchunguza ndo naona fujo zako....unajua why ameniita?πŸ˜€πŸ˜€

Ha ha ha nilikuwa nakusalimia tu mkuu.....hakuna ghasia zaidi anataka kunipa
kombora eti nimuachie uwazi.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna urafiki usio na sababu, iwe sura, umri, kuzaa watoto, matumaini ya maisha bora,pesa zote ni sababu tu
Ukitaka kujua kama ni mapenzi ya kweli fuatilia net worth yao wote wawili.kama bi mkubwa ni milionea ama bilionea na dogo hana kitu basi ujue mshkaji kafuata mpunga tu,anamlia taiming bibi wawatu ajifie arithi mazagazaga
 
Ha ha ha nilikuwa nakusalimia tu mkuu.....hakuna ghasia zaidi anataka kunipa
kombora eti nimuachie uwazi.

hivi unajua kama salamu exlusive kama hizi kwangu zinaukosha mtima wangu? hadi hommie wangu Asprin anaona wivu kabisa.....asante
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…