FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,409
I love the style
![]()
mi nimempenda huyu tu hapa hamnitoi
Ndiyo African touch hiyo siyo tunavishwa nguo za mpira sijui umetokana na nini tunaacha vitenge vyetu vya pamba halisi. Matokeo yake hata saratani nayo inapamba moto.
hiyo lokal dread FL 1,shanuo la miti wanalo lakini dread hii aliipenda na ikampendeza.mzima lakini?:A S-rose:
Sasa nyinyi wanawake kama mnajua hao wamependeza kwa nini msiige huo mfano na kutuvalia nguo zinazowadhalilisha!!!!????