Ushatoka church bwana..tupe storyWeweee! Nakuona nakuona single boy
Unalalamiiiikaaa niaaaaajeeee!!
Hahaha. Asante kaka, jaman mimi sio Beige mbona mnanichanganyaa?! Njoo inbox kaka nikupe no yangu tuongee seriously! Ila umenifagilia mbaya mpaka naona aibu. God Bless you
Nakuja my Yesu amenoga hukuu najaaUshatoka church bwana..tupe story
Love you too Daddy!Money penny u know vile nakulavu mama
Kiruuuu I'm mamy not dadyLove you too Daddy!
Oh! sorry Mama sittaKiruuuu I'm mamy not dady
Asante bestLeo umenena money
Money leo unachamba tuuuuuu khaaaa
Nani kaathirika sasa bro?!sitaki kuamini kuwa huyu nae ni muathirika wa madawa ya kulevya.....
Asante my friendIko vizur
Exaggeration zimekuwa nyingi imeboa.
Soma tena nilikuwa na upload ndio nimemalizaaTamu lakini fupi ya leo!!!
Thanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana naweAsante my friend
We bwana ndio kama wale wale ambao 1st Class Beyaaacha alikuwa anawaongelea, jombaaa haupo level nayoiongelea wala hauvijui ndio maana unaboreka
Poyeee bruh!
Mkuu hauko serious kabisa,dolla laki 5 ni sawa na billion 10? au billion na point? nadhani ijue kwanza dollar 1 ina thamani kiasi gani kwa hela ya ki tz ndo utoe hesabu,ila hiyo billion 10 umekosea kabisa,back to topic hii story ni fiction tu matukio mengi siyo halisia kabisaThanks sister ni kweli cpo level hizo,ila pia thamani ya dola laki tano ni billion 10 na zaidi,hata hao wa level ya juu hawahongi hiyo kwa demu aliyelala nae usiku mmoja.samahani kutofautiana nawe