Love Journals

Kuna mwanamke mmoja zamani za kale - nimehadithiwa na bibi yangu. Aliishi kwa taabu kubwa sana na mume wake ambaye alikuwa mkorofi kupindukia yani mwanamke hana kizuri atakachokifanya yule mume akaridhika . akianza kumpiga tena ndiyo usiseseme . so one time majirani kwakumhurumia wakamshauri huyu mama aede kwa mganga akajaribu kumtuliza mume wake, basi akaenda kwa mganga ... akamwambia mbona dawa ndogo sana .. yule mama kusikia hivyo akafurahi, mganga akamuuliza je utaweza masharti.. akajibu nko tayari kwa lolote ilimradi niondokane na adha hii .. mganga akamwambia nahitaji sharubu moja tu la simba .. yule mama akasema sawa nitakuletea .. yule mama akawinda simba na kumpata ... kila siku akawa anampelekea yule simba chakula mwisho wakazoeana.. akawa anamsogelea siku hadi siku mpaka akaweza kumvuta sharubu bila wasi wasi maana yule simba kishamchukulia kama rafiki .. kumpelekea mganga .. akamwambia mbona simba mkali na anaogopea umeweza kutimiza haya ... unanitania nini nenda ukamtulize mume wako hapa sina dawa ya kukupa!!!!!

i liked the story...kama aliweza mtuliza simba na kuweza mtoa sharubu iweje ashindwe kumtuliza mumewe waelewane ndani ya nyumba??!!lohh!!!
 
Hakuna Kitu Kizuri Kama Kukaa Mahali Kufanya Hili Na Lile Huku Ukijua Sehemu Fulani Kuna Mtu Anakuwaza Wewe Anakupenda Na Anapenda Kila Kitu Kuhusu Wewe Na Pengine Yeye Anakufikiria Zaidi Wewe Kuliko Unavyomfikiria Yeye .

Leo Imekuwa Siku Njema Sana Kwangu Ingawa Sijaongea Kwa Muda Mrefu Katika Simu Na Mama Watoto Lakini Ameonyesha Tabasamu Na Mapenzi Ya Hali Ya Juu Kwangu

Mama watoto amekua sababu ya kukuondoa duniani, daaaahhh
 
Back
Top Bottom