Mimi sijui ung'eng'e pia ila sijaelewa kichwa cha habari kwa kiingereza changu cha primary school, "love is sweet but it is better!" Unataka kusema nini mkuu? Jamani kuelewa na kujua si lazima TUANDIKE KWA KIINGEREZA ili mimi napigana nalo kila siku na ninapenda tujieleze na kuandika lugha yetu tunayoijua vizuri zaidi. Let us be proud with our Kiswahili Language as Chinese, French, Germans, Arabs, Russians are proud with their own languages...If committed, jingoistic and chauvinistic, we can!!!!
Lakini sijakosea kiingereza, nimejifunza sitarudia kuchanganya tena..Sasa mbona na weye umechepuka bro.. Ungemalizia kwa kiswahili ingeleta maana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mrekebisheni tu,mnaelewa kama amekosea,na alilolikusudia mnalielewa.ndio kujifunza