love is so unfair

love is so unfair

Hapana mkuu, hapa ngoja nifnye mishe zangu tu.. sina hamu na jinsia hii.. "ME"

ukiamini wanaume ni wazinguaji utakutana na wazinguaji. Ukiamini wapo ambao wapo Peace, utampata ambae yuko Peace. Gotcha me?
 
Pole zako nyingi.

Last edited by a moderator:
Adui wa mwanaume ni mwanaume mwenzio..
Nakupa pole mkuu. Umezidiwa
 
pole kwa kuachwa. kawaida ingawa inauma, ila umekosea kitu moja tu - kwamba utafanya mambo flani mpaka ajute kwa nini alikuacha. Hapo utajiumiza saaana yani. Msamehe, mtupe nyuma yako, endelea mbele. haya mambo ya kujitutumua kwa ajili ya flani yashawahi kupeleka watu pabaya. Aliyekuacha kuna uwezekano mkubwa kuwa huko aliko anapumua vizuri, kula na kulala kwa raha zake wakati we unalalama humu. Fanya yako kwa faida yako.
 
Hivi bado kuna watu wanalia lia na mapenzi poleni Sana.
 
pole kwa kuachwa. kawaida ingawa inauma, ila umekosea kitu moja tu - kwamba utafanya mambo flani mpaka ajute kwa nini alikuacha. Hapo utajiumiza saaana yani. Msamehe, mtupe nyuma yako, endelea mbele. haya mambo ya kujitutumua kwa ajili ya flani yashawahi kupeleka watu pabaya. Aliyekuacha kuna uwezekano mkubwa kuwa huko aliko anapumua vizuri, kula na kulala kwa raha zake wakati we unalalama humu. Fanya yako kwa faida yako.

Asante Mkuu
 
ni safari kama safari zingine.....kaza moyo .....jifute machozi....songa mbele.....uko mbele kuna furaha na penzi la kweli.....
 
Hivi wanaume tunaliaga namna hii kweli, grow up dude
 
Only god knows how much you hurt me, i dont know why but its ok because you were not interested with me although you seemed happy when u're with me. Now am gone, am out of ur life with alot of pains in my heart, i gave my life to u, loved, and respect you coz i wanted 2 be with you for my eternity.. Breaking up with u doesnt mean i wont achieve my dreams, i will for sure and one day i'll prove it 2 u! I will show you how much u made first class mistake for staying away from me!
Bbygal u should not believe words without seeing, i know they talked rough about me so as 2 separate us and u believed that words without asking me if it is true or not, but you took it as an advantage of leaving me.. I lov u very much but am about 2 give up, am so disapointed

Mkuu pole sana, yani imekaa kama lyrics ivi..wapelekee backstreet boys waandae wimbo..hapo me nimependa"I will show u how much you made first class mistake for staying away from me" ongeza jitihada kuprove hicho kitu apo. All the best!!!
 
pole kwa kuachwa. kawaida ingawa inauma, ila umekosea kitu moja tu - kwamba utafanya mambo flani mpaka ajute kwa nini alikuacha. Hapo utajiumiza saaana yani. Msamehe, mtupe nyuma yako, endelea mbele. haya mambo ya kujitutumua kwa ajili ya flani yashawahi kupeleka watu pabaya. Aliyekuacha kuna uwezekano mkubwa kuwa huko aliko anapumua vizuri, kula na kulala kwa raha zake wakati we unalalama humu. Fanya yako kwa faida yako.

Word mkuu
 
Ukiwa na stress bana ni raha wakati mwingine
 
Duh...Am sorry honey...U know I love u so much, T waz not my intention to hurt u...
Come over baby, Don't go pliiz ......We were meant to be together, forever....am yours, only yours....no matter what....!

Heheheee natania tu, hata sio miee....
 
Jifariji na hii kitu
 
Attachments

  • 1419790255715.jpg
    1419790255715.jpg
    33.3 KB · Views: 115
Breaking up with u doesnt mean i wont achieve my dreams, i will for sure and one day i'll prove it 2 u! I will show you how much u made first class mistake for staying away from me!
Hem' acha ujuha wewe...unalialia ovyo kisa mwanamke kakuacha?? Hilo hapo ni dua la kuku..wala halimpati mtu...!
 
Ni kawaida kupata maumivu ukiachwa lakin..utapona alafu itakuwa wise sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom