Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,711
Hem' acha ujuha wewe...unalialia ovyo kisa mwanamke kakuacha?? Hilo hapo ni dua la kuku..wala halimpati mtu...!
Eeh mapenzi yanauma kuliko jinoo...ndo maana hujawahi kusikia MTU kajinyonga kisa anaumwa jino...