Love is a Beautiful Thing!

nani huyo anaonyesha ndala boss?
tuko hapa kudiscuss Upendo wa Kweli - LOVE is a beautiful thing , ndala zatoka wap tenaa? au umechanganya habari

Sijachanganya habari ila nimechanganywa na huyo mdada anayejishushia hadhi yake kwa kuonesha hayo madala. Sijui kanyonyesha wangapi tu au kawa soropoa!!
 
Wanawake niwatu wabaya sana, Ili uishi nao moyo lazima uuvishe bullete proof.

Akija napiga rungu tu. Lakini mapenzi NOOOOOOOO
Unahitaji msaada wa kisaikolojia
God is Love ... LOVE RULES
 
Back
Top Bottom