Isimilo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2007
- 217
- 7
Jamani,
Hiki kipindi sidhani kama mmebahatika kukiona. Sina hakika kama ni series au ni one time show.
Siku ya Jumatano nilichelewa sana kulala, imefika mida ya saa sita na nusu usiku kukawekwa kipindi cha ajabu sana pale TBC1 kilichokuwa kikilushwa na MTV. Kipindi kile naweza kusema kimeenda mbali zaidi mara 100 ya Big brother.
Ni kichafu kimejaa kila aina ya sexual exposure, heavy -openly romance 90% Naked and all sort of that. Ni sawa na hii mikanda ya ngono wanayouza mitaani halafu wanaita Love story. Tukumbuke hata watoto siku hizi huwezi kuwaficha kitu kwa kuonyesha usiku wa manane. Bunge liko wapi?
Kilijaa fumanizi, mabinti kulazimishwa kuvua nguo, na kila kitu. Kulikuwa na wavulana wachache kwenye jumba lile halafu wasichana wengi wanashindana kuchukua wavulana and then mwishoni wanapewa zawadi for the best!