Love comes down

Love comes down

Unapokea unachotoa, na ukiamini yapo mbinguni tu basi tegemea kuyapata huko(kama utafika) na duniani tegemea mateso tu, mdomo huumba.

nilishaamini yapo duniani nikaigiziwa na nilizama miguu yote ndo maana sina imani tena na ladies maana nahisi wote ni actress in nature
 
We unayeshinda kunifuata fuata km nzi na kinyesi unatafuta cheo gani? Yaani kila nilipo nawe upo!! Niache nipumue basi.
teh teh..katoto vipi?..umekula hela ya watu nn?
 
Soon soul mate will turn hellmate

Juwaine hahahahahahah...umenipasua mbavu zangu et atakua "hellmate"...Ila kweli tusitegemee sana musimamo ya wapenzi wetu kike,huwa znawarukaga fasta mno!7
 
Last edited by a moderator:
I am in Love! Hakuna kitu kizuri kama kupendwa na yule umpendae.Naiona dunia yote kama mali yangu vile Kitanda ninacho lalia ni futi tano kwa sita lakini nikilala najiona kama nimelala kwenye uwanja wa taifa.The whole world seems bright for me, cause she told me last night, that tomorrow she will be my blushing bride.

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiliuza kwanini nimeletwa duniani,finnaly nimekuja ku realize that, nililetwa duniani kwa ajili ya kukutana na huyu " soulmate ". Huwezi ku feel kile ninacho ki feel kama haujawahi kupendwa na mtu unayempenda.

Aisee,
Kumbe kupenda kuko hivyo?
Poa, wewe hondomola.
Ila, Yakichina usisahau kutujuza pia.
 
I am in Love! Hakuna kitu kizuri kama kupendwa na yule umpendae.Naiona dunia yote kama mali yangu vile Kitanda ninacho lalia ni futi tano kwa sita lakini nikilala najiona kama nimelala kwenye uwanja wa taifa.The whole world seems bright for me, cause she told me last night, that tomorrow she will be my blushing bride.

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiliuza kwanini nimeletwa duniani,finnaly nimekuja ku realize that, nililetwa duniani kwa ajili ya kukutana na huyu " soulmate ". Huwezi ku feel kile ninacho ki feel kama haujawahi kupendwa na mtu unayempenda.




Hongera....
No homo but I am in love wiz maself.....
Najipenda mwenyewe....
Napenda ndoto zangu...
Napenda hustles zanguz...
Napenda Afya yangu. ...
Napenda Pesa zangu saaaaaaaaana; ndiyo sababu napenda kuamka kila kukicha kuongeza pesa zanguz....

Kwakweli napenda freedom na options that money brings....

Napena oh napenda
1) Achivements
2) Affiliations na
3) Powerzz

Less to name napenda
Know myself and treat myself well...

Above all those I like beauriful gals!
Cheers!
 
Back
Top Bottom