Love comes down

Love comes down

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,943
Reaction score
37,839
I am in Love! Hakuna kitu kizuri kama kupendwa na yule umpendae.Naiona dunia yote kama mali yangu vile Kitanda ninacho lalia ni futi tano kwa sita lakini nikilala najiona kama nimelala kwenye uwanja wa taifa.The whole world seems bright for me, cause she told me last night, that tomorrow she will be my blushing bride.

Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiliuza kwanini nimeletwa duniani,finnaly nimekuja ku realize that, nililetwa duniani kwa ajili ya kukutana na huyu " soulmate ". Huwezi ku feel kile ninacho ki feel kama haujawahi kupendwa na mtu unayempenda.

 
Let love say,let love act hahaha mapenzi raha sana ukipendwa na umpendae bt usiombe upende usipopendwa
 
kobe-thumbs-up-return.jpg


Love is the most beautiful thing man. All the best.
​
 
soulmate!!!!!!????...basi hongera sana mkuu
 
Kwa kweli sinna mpango wa kupenda na sitaki mtu anipende, anipende kwa hasara yake mwenyewe.
 
i'll never ask u again why u r always so happy...now i know the reason..teh teh
whether single or dating ... i'm always happy coz I have too many things to be grateful for. So huwa najitahidi kutokuruhusu kitu chochote kibaya kiharibu furaha yangu. I have always been a happy person[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
 
Mh. Hujampata tu. Huoni mleta mada alikuwa anajiuliza aliletwa duniani kwa nini na ndio kapata majibu baada ya kupendwa.
Nishapenda sana lakinibkwa sasa sina mpango wa kupenda, na sitaki mtu anipende ila akinipenda haina shida anipende kwa hasara yake mwenyewe.

Sasa hata mahusiano nayofanya ni mahusiano ambayo hayatoi nafasi ya kumpenda mtu na sitaki kupenda mtu na sina huo mpango.
 
whether single or dating ... i'm always happy coz I have too many things to be grateful for. So huwa najitahidi kutokuruhusu kitu chochote kibaya kiharibu furaha yangu. I have always been a happy person[emoji133] [emoji133] [emoji133] [emoji133]
daah...hongera yako..nipunguziapo basi kidogo furaha..mana mi huzuni kila mara yani
 
daah...hongera yako..nipunguziapo basi kidogo furaha..mana mi huzuni kila mara yani
Una huzuni ya nini tena jamani? Afu furaha nzuri ni ile inayotoka within you. Usimtegemee sana mtu mwingine ndo awe source ya furaha yako, binadamu hatutabiriki
 
mkuu umenikosha ila ujajua tu nakupa mwezi mmoja uje tena humu utuambie i guess huyo soulmate atakuwa siyo soulmate tena
 
Una huzuni ya nini tena jamani? Afu furaha nzuri ni ile inayotoka within you. Usimtegemee sana mtu mwingine ndo awe source ya furaha yako, binadamu hatutabiriki
sio huzuni,ni mahuzuni..yani masnura kila kukicha..binafsi nimeshindwa ndo mana nahitaji msaada kutoka nje
 
Back
Top Bottom