I am in Love! Hakuna kitu kizuri kama kupendwa na yule umpendae.Naiona dunia yote kama mali yangu vile Kitanda ninacho lalia ni futi tano kwa sita lakini nikilala najiona kama nimelala kwenye uwanja wa taifa.The whole world seems bright for me, cause she told me last night, that tomorrow she will be my blushing bride.
Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiliuza kwanini nimeletwa duniani,finnaly nimekuja ku realize that, nililetwa duniani kwa ajili ya kukutana na huyu " soulmate ". Huwezi ku feel kile ninacho ki feel kama haujawahi kupendwa na mtu unayempenda.