Love Calculator

Watu sheria zake hamzijui? Andika full name! Sasa ukiandika 'AshaDii' haitoshi, tumia majina yote matatu uliyonayo.
 
vipi unaweka jina moja tu ama una include na Sir name cz majibu yake yanakuja tofauti mnooo
 
Kuna demu nataka kumtokea imeleta 82% inaniakikishia ushindi wa kishindo.nauakika nikpata namba yake kaz yangu itakuwa siku ya kwanza tu pambano litakuwa limekwsha
 
<br />
<br />
ya kizushi, mi ninavyompenda nanilii nimecalculate imekuja sifuri.

Simple. Ukiona umepata sifuri, twist majina kidogo, kama uliweka mawili ongeza na la tatu, uone utakavyo pata nyingi.
 
mie natumia jina lambert au lumbert. nikiweka lu majibu tofauti na nikiweka la. so, ni badili jina??? maana kigoli wangu simwachi....anajua kunisuuza
 
mie natumia jina lambert au lumbert. nikiweka lu majibu tofauti na nikiweka la. so, ni badili jina??? maana kigoli wangu simwachi....anajua kunisuuza

Hazole tayari usha halalisha yule dada wa bar?? au ndo yupo mwingine speacial??
 
Imeniletea 85% na kwa mpenzi wangu kwa kwanza na mwengine imekuja 95%.
 
<font size="3"><span style="font-family: trebuchet ms">Nime calculate na haya ndio majibu niliyopata...
na Shantel=41%
Husninyo=42
<font color="#ff0000">Ashadii=86%</font>
Bebii=75
Sweetlady=43%
This is very funny!
</span></font>
.
Hapo ulipo weka font nyekundu panaweza kukusababishia u kibogoyo.
Maana mi tayari nshaanza madrasa kwa ajili ya mtoto Asha dii
 
aaaah! inatisha watu.... afadhali sisi tuokuwa ndani ya ndoa .... washikaji msivuje uchumba sababu ya hii kalkuleta ni funny thing

Sio siri eti 21% aaaah hapana
 
Hazole tayari usha halalisha yule dada wa bar?? au ndo yupo mwingine speacial??

teh teh teh...Ashadii ....duh. aisee nimejaribu kuweka majina tofauti nashangaa. wa bar kagonga 55%% jamani. nikaweka ashadii nikagonga 90%% lazima nikupm
 
teh teh teh...Ashadii ....duh. aisee nimejaribu kuweka majina tofauti nashangaa. wa bar kagonga 55%% jamani. nikaweka ashadii nikagonga 90%% lazima nikupm

Hazole... No wonder yule dada wa Bar alijua unamuoa... mwnamke akisemesha tu (hata kama mke wa mtu kama mimi) unamrushia mistari....lol
 
.
Hapo ulipo weka font nyekundu panaweza kukusababishia u kibogoyo.
Maana mi tayari nshaanza madrasa kwa ajili ya mtoto Asha dii

Ha ha ha ha...mkuu Buji Heshima ije kwako...Naomba kutoa jina langu...umefika juzuu ya ngapi?
 
hahaaaaaaaaa bora yako eti mie 14% wanautani kabisa

aaaah! inatisha watu.... afadhali sisi tuokuwa ndani ya ndoa .... washikaji msivuje uchumba sababu ya hii kalkuleta ni funny thing

Sio siri eti 21% aaaah hapana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom