Love bites na karaha zake

kaaah ..zamani saana tulikua tunafanya ila sa hivi naonaga ni utoto tu wakiboya
 
si
Umeuelewa vizuri sana huu uzi mkuu, and you know the whole situation inavyokuwa,....she is crazy linapokuja swala la biting though baada ya mchezo anajikuta anablame as if alikuwa haenjoy
unawajua vyema hawa viumbe ni trick tu mrudie
 
Vampires wamevamia hili jukwaa kwa kweli!! Love bites my foot!
 
Awe anajifunga khanga shingoni wakati wa tendo la ndoa
 
Chemsha maji vugu vugu, chukua kitambaa fanya km unamkanda inaisha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…