....love bite zinatokaje jamani?

ulikuwa unakenua miguu hukutushirikisha... saahizi ati naomba msaada tena kwenye jambo la kunitakia... mweh! Imekula kwako😡
 

sijaona watu waliokupa ushauri murua wa kuachana na huo UZINZI wako,kumbuka wewe umeshaoa teyari huna sababu ya msingi ya kwa nini unamsaliti mkeo,achana na tamaa mbaya,kwasababu kwa karne hii kila mtu akikutana na project yake ya zamani halafu aseme wa kumbushie niambie ni nani atakae baki salama?vitu vingine sio vya kuendekeza kabisa,yangu ni hayo tu.
 
pole sana, Inaelekea ww sio mtaala wa mipango ya kando.

jifunze ujanja ujanja au uache kabisa, vinginevyo ndoa yako ipo hatarin

cheat responsibly
 
hahaha mtoto ana menoo??
ananjuA ATA kutoa luv bite mtoto mwa jamen:confused2:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…