....love bite zinatokaje jamani?

Watu wanavyo-glorify cheating humu JF, inasikitisha mno
 
ahaa penalty inapigwa kabla ya filimbi ewii , asa nae wakati unapiga mshindo naye nyege ndo zinatuliaga ndomana anakubite sasa haha natania
 
paka colgate
 

Niitie huyu aliyekutoa love bite nimpe zawadi yake! maana amefanya kazi nzuri. Hiyo ndiyo dawa ya wazinzi wanaotoka nje ya ndoa zao. Dawa ni kujimwagie ***** mwili mzima ujikuneeeeeeeeee ili utoke maalama yanayofanana na hizo lovebite.
 
Mambo ya kishamba tena, mbona unamcheat mkeo, kumcheat mkeo sio ushamba eee!
Ili kumukomesha angemuwekea na ya usoni kabisa, uzinzi muufanye halafu matokeo ya uzinzi iwe ushamba tena ebbo!!!

 
kwanini ulimgonga
 

Sasa wangekugandisha uko ungekuwa unayaleta haya hapa? Bora ungegandia hukohuko! Karibu Sumbawanga..
 

Mshamba/limbukeni ni wewe unakwenda kufanya mambo ya giza huku ukimwacha mkeo. Hivi nyie vizazi misotosheka mpaka lini???? Nenda hivyo hivyo atakufanya nini mkeo wakati wewe ndiyo kidume!
 
Niitie huyu aliyekutoa love bite nimpe zawadi yake! maana amefanya kazi nzuri. Hiyo ndiyo dawa ya wazinzi wanaotoka nje ya ndoa zao. Dawa ni kujimwagie ***** mwili mzima ujikuneeeeeeeeee ili utoke maalama yanayofanana na hizo lovebite.

i am sorr hapnes!
 
Love bite ni nini. Mtu anakuuma na meno hutoki damu, huumiii, inakuwaje. Tufahamishane jamani. I have never come across such a thing or heard of it

labda umejaaliwa sana rangi ya kiafrika,huwezi kujua anachokizungumzia.....
 
kaka bora urudi kwa mkurya Tweeter nimeona mdada anauliza same swali atakua mkeo ukichelewa utakuta na za kwake zimefutika! chezaa wanawake wewe!!!!!!!!!!!😛op2:
 
Pole mkuu, ushauri uliopata sio kwamba hao waliokupa wamependa ila wanataka ndoa yako idumu, kwa niaba yao naomba nikuambie usirudie tena na kuwa makini maana wengi wamekupa ushauri wamesahau kukuambia usirudie tena
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…