....love bite zinatokaje jamani?

ukifika home vua gizani afu umwambie mkeo akuwekee lobe bite.

Hatajua zipi zake na zipi si zake

hahahahaa!another Grit thinking!afu huwa haziombwi hizo,ni mzuka halafu wife mzazi hafanyi hayo mambo kwa sasa
 
pamoja sana,wewe yeshakukuta haya bila shaka!mbaya sana
 
shukuru Mungu umeoa mkuria, ungeoa mchaga cha moto ungekiona.

dada zangu punguzeni manjonjo kunako 6*6 wengine tuna wake zetu mabondia, msituhatarishie maisha.

View attachment 75198 hivi ndivyo love bite inavyotokea.
 
shukuru Mungu umeoa mkuria, ungeoa mchaga cha moto ungekiona.

dada zangu punguzeni manjonjo kunako 6*6 wengine tuna wake zetu mabondia
, msituhatarishie maisha.

View attachment 75198 hivi ndivyo love bite inavyotokea.

pamoja sana!hiyo red nimewasisitiza wasikie ombi lako mjomba
 
Kamwambie ulipitiwa na kitu ambacho ana allerge nacho ila siyo love bite.
 
usirudi, halafu wanawake wengine hawachoki kugeuzwa viporo?
 
ckushauri lolote wacha yakukute, unajijua mwizi halafu hujiwekei mipaka,unajifanya senior bachelor
 
mtu mwenyewe mweusi tiii kama nyago la mmakonde halafu unatuyeyusha una love bites...
 
Haahaahaahaaa🙂. Kama kang'ata sawasawa hapo unalo maana zinachukua muda kuisha kama zimekamata sawasawa!

Siku nyingine mfunge mdomo asikugugune...Usijevunja ndoa kisa kiu ya muda!
 
Haahaahaahaaa🙂. Kama kang'ata sawasawa hapo unalo maana zinachukua muda kuisha kama zimekamata sawasawa!

Siku nyingine mfunge mdomo asikugugune...Usijevunja ndoa kisa kiu ya muda!

hajang'ata kisawa mwana.pamoja sana ntakua makini
 
mtu mwenyewe mweusi tiii kama nyago la mmakonde halafu unatuyeyusha una love bites...

dah,we jamaa mpinzani wangu kwa kila jambo!hata weus lov bite zipo
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…