Love be like

Love be like

Me ndio maana niko busy kumpenda Mungu wa mbingun tuharusi ni moja tu ya mwana kondoo
Huwezi mpenda Mungu kama hupendi binadamu wenzio unao pigana nao vikumbo hapa duniani, labda unampenda mzungu wa mbuguni.
 
Hahhaaaa siku hizi sijui napendaje yaani mtu akiwa close na mimi nampenda hatari akitoka tu nawaza hela
Yaani hata akisema it’s over najibu tu ok
Kuna mmoja huyo katika harakati za kuto kunielewa akaniambia usinitafute tena😁😁nikamwambia twende tukapige beer tufurahie kibuti.

Huwa napendaga kindezi wakati mwingine
 
Unakosea kusema mapenzi yanauma sababu mapenzi sio physical pain kama kidonda..
Ni emotional pain kitu ambacho unaaweza kukaza na kukipotezea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom