love at first site

love at first site

kipusatembo

Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
88
Reaction score
29
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........

Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli inawezekana ukamuona mutu siku ya kwanza na siku hiyo hiyo ukafolu in lavu.......?!!

kama unahamu ya kunshushua ama kunijoboa kaa mbali na post yangu soma tu afu teleza kimya kimya........
 
Kwa upande wangu huwa nakutamani nikikuona
 
Usipanic hapo sijakutaja wewe

Namaanisha kwa wanawake yaani nikikutana na wewe mara ya kwanza nikakuambia nakupenda hapo nimekudanganya

Hahaha....... Hapo umeeleweka......... So na mm si ajabu namtamani sio?! Tho sijamwambia bado.
 
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........

Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli inawezekana ukamuona mutu siku ya kwanza na siku hiyo hiyo ukafolu in lavu.......?!!

kama unahamu ya kunshushua ama kunijoboa kaa mbali na post yangu soma tu afu teleza kimya kimya........

Mkuu edit. Ni Love at first sight
 
Hiyo ipo sana tu ila kujua kama umefall kikweli kweli ni mpaka utakapokuwa umemjua vizuri tabia zake
 
So subira muhimu sana............ sio eeehhh maana kwanza najishtukia kiana siku moja tu mtu uanze kuchombezaa??!!
 
we chombeza tu manake waweza subiri alafu mwisho wa siku mwana akawa si wako, mengine yatajulikanaga huko mbeleni
 
Last edited by a moderator:
we chombeza tu manake waweza subiri alafu mwisho wa siku mwana akawa si wako, mengine yatajulikanaga huko mbeleni

Hihihihi yako kali mmeipenda....... Naeza jikuta nategea afu nategeka kwelii....... Watu wakabebaa
 
It happens, dah umenikumbusha nlivofall kwa nanii nilivomuona siku ya kwanza tu kumuona
moyo ulienda mbio, kijasho kinanitoka, natetemeka kama ninepigwa shoti, yani nililegea kila kiungo
aseee love is something vere byutiful....

Evelyne malizia basiii nini kikatokea ulifunguka on the spot ama ilikua bahati akakuwahi......hihihi
 
Hivi bandugu hii kitu inaexist kweli ama mimi nmejichanganya tu umpweke unanpeleka puta??!!
Maana kama sielewi hivi........

Basi kwa yule mwenye eksipiriensi anijuze mimi hapa kama ni kweli inawezekana ukamuona mutu siku ya kwanza na siku hiyo hiyo ukafolu in lavu .......?!!

kama unahamu ya kunshushua ama kunijoboa kaa mbali na post yangu soma tu afu teleza kimya kimya........

Kwa jinsi nilivyo fanya ndo nitakuwa nimeku Joboa au ???
Viswahili vingine shida tupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom