- Thread starter
- #61
🤣🤣🤣Sawa, kumbe hii ndio ID yako.
Ahsante sana kwa kunianzishia uzi na kunisifia
🤣🤣🤣Sawa, kumbe hii ndio ID yako.
Ahsante sana kwa kunianzishia uzi na kunisifia
Amen 😂😂Na jua likawachome ipasavyo huko njiani mkitembea.
Hahaha kwenye maisha hatuwezi kosa wapingajiSasa hivi watakuja watasema mtaachana watu bhana sio watu wazuri kabisa
😍😍Nakufurahia sending [emoji253][emoji255][emoji257] to u
Majukumu tu mtu wangu, uko poa?
Warusha nyavu humu ni wachangamsha jukwaa tuAhaa, wale waliokua wanarusha nyavu leo ujumbe umefika
Thanks sis 😍you were meant to be sweetheart,
May the love you have brings lots of joy and blessings to you two babe c'ssy..! ❤️
hongera mkuu, naona rasmi umeamua kuharibu mood za wanaokutaka humu ndani daily.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kemea
By the time nilikua kazini..usiku nalala nayo karibia kila leo!Ahahahahahaa si umuite unayemkwotigi aje atulize mitetemesho ya madoo ya hamu
Niko poa,pole kwa majukumuMajukumu tu mtu wangu, uko poa?
Ndio ushajua sasa,usimteseKumbe ndo maana huyu ananiganda hivi,mara alieee.Kumbe nimemchanganya mdada wa watu
Maji yakizidi unga press button[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]