Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,975
- 41,218
So haya mambo yapo Sana na tukisema tushuhudie shuhuda ni nyingi..Imenitokea nikiwa primary kabisa Kuna binti huyo i was catching feelings to her....... Mpaka ikatokea siku tulikuwa na nn tukawa tumekaa wote nilihisi kutua mzigo!!
Nimeruka ruka
Mwingine alikuwa chuo huyu angenifanya nife kabisa......... Uzuri mmi nili mwona presentation Ila siku mtilia maanani
Ila siku nipo canteen nimekaa nikamwona anapita ana vyo cut walk !! Aseeh nilihisi kufa kufa
Nikampata kupitia rafiki ake..... Tukazoeana hapo siku moja akaniambia napenda nikuangalie una nyusi nzuri napenda mwanaume mwenye nyusiπ
Nikasema hapa hapa....... kumbe yeye alishaniweka akilini nami hivyo hivyo.... so far tulimalizia mwaka wa tatu vizuri sana π
Zinakuwaga nyege wala sio mapenzi πΉπΉHujawai kupenda wewe..yaan uwe na kila kitu maishani..ukose mwanaume TU. Na ukafanikiwa kumuona dream man wako.
Yule dada alinambia alipo niona alikua yupo kwenye mfungo wa kupata mchumba/ mwanaume sahihi na alipo niona roho mtakatifu akamuelekeza anifuate ndipo safari yetu ilipo anzia..
Mapenzi ni kitu Cha ajabu Sanaa...wapo hata walio toa uhai kwa ajili ya mapenzi....Lamony usha wai kupenda/ kupendwa?
Hii mbona kali sanaZinakuwaga nyege wala sio mapenzi πΉπΉ
Mkishanjunjana na gubu linaanza, mara pap mnapigana chini..!!
Kuna mkaka nilipanda naye bus alikuwa ananitolea macho nikajua kanielewa kumbe anafikiria jinsi ya kuachia shuzi..!! Bus lilikuwa na AC lakini tulifungua madirisha π€£
Alijikausha au ilikuaje maana kusababisha gari ifunguliwe madirishaa huo ushuzi ni wa SGR π π π π πZinakuwaga nyege wala sio mapenzi πΉπΉ
Mkishanjunjana na gubu linaanza, mara pap mnapigana chini..!!
Kuna mkaka nilipanda naye bus alikuwa ananitolea macho nikajua kanielewa kumbe anafikiria jinsi ya kuachia shuzi..!! Bus lilikuwa na AC lakini tulifungua madirisha π€£
Ipo hivyo,ila nimefurahi kwamba ukimuona tu simi linachezachezaHey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man ππ Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man π₯
Am so in love!
Jamaa ajengewe sanamu lakee πππHey guys

Form 3 nilikua nawaza sikukuu nitavaa au wazee watakausha au nilikua kajingajinga sikuelewa maswala ya mapenzIliwahi tokea,
Nikiwa 4m 3 likizo ya June, bas siku npo tuit class, akaingia mkaka, ile kumuona tyuu, moyo ukafanya "paah" nikiri wazi moyo wangu ukitopea kwake, nkamtazama had alipoenda kukaa, ticha anafundisha mie namkodolea jicho yule mkaka..
Baadae alistuka, maan nlkua namtazama haswaa, hata sikuwa naogopa, nae akawa ananitazama km vile anajistukia, mie nkamkonyeza jicho, mkaka akageukia upande mwingine, pindi lilipoisha, tumetoka nje nimekaa zangu nasoma notes, mara paap jamaa huyu hapa, kaanza kunihoji mbna nlikua namtazama vile, na had kumkonyeza, nilibaki naduwaa, nkamuomba samahani, tukapiga story kdg tukaachana..
Toka pale nikawa namuogopa, na ile kumkwepa, nlikua najistukia mwenyewe, kumbe jamaa alijua, after 3days, tupo kwa pindi la Chem, ticha akatoa test, na akasema top 10 watapewa zawadi, siku ya 2 baada ya tokeo, mie nikawa no 7, yeye hata hakuwepo, baada ya kutoka ktk pindi, nimekaa niko buzzy mara akani join, akanipongeza, tulipiga story kwa uzuri, kwa kifupi mapenzi yalianzia hapo, kiukweli nili enjoy mnoo, sijawahi juta kumfahamu, but kuna time ilifika tuliachana. π’π’
Sema hulka tyuu. Mbna nilivofika advance na chuo sikua na mapenzi tena.Form 3 nilikua nawaza sikukuu nitavaa au wazee watakausha au nilikua kajingajinga sikuelewa maswala ya mapenz
Hii nzurii Sanaa π πIliwahi tokea,
Nikiwa 4m 3 likizo ya June, bas siku npo tuit class, akaingia mkaka, ile kumuona tyuu, moyo ukafanya "paah" nikiri wazi moyo wangu ukitopea kwake, nkamtazama had alipoenda kukaa, ticha anafundisha mie namkodolea jicho yule mkaka..
Baadae alistuka, maan nlkua namtazama haswaa, hata sikuwa naogopa, nae akawa ananitazama km vile anajistukia, mie nkamkonyeza jicho, mkaka akageukia upande mwingine, pindi lilipoisha, tumetoka nje nimekaa zangu nasoma notes, mara paap jamaa huyu hapa, kaanza kunihoji mbna nlikua namtazama vile, na had kumkonyeza, nilibaki naduwaa, nkamuomba samahani, tukapiga story kdg tukaachana..
Toka pale nikawa namuogopa, na ile kumkwepa, nlikua najistukia mwenyewe, kumbe jamaa alijua, after 3days, tupo kwa pindi la Chem, ticha akatoa test, na akasema top 10 watapewa zawadi, siku ya 2 baada ya tokeo, mie nikawa no 7, yeye hata hakuwepo, baada ya kutoka ktk pindi, nimekaa niko buzzy mara akani join, akanipongeza, tulipiga story kwa uzuri, kwa kifupi mapenzi yalianzia hapo, kiukweli nili enjoy mnoo, sijawahi juta kumfahamu, but kuna time ilifika tuliachana. π’π’
Wa kuitwa R, Nlimpendaga sanaa, nili enjoy kuwa nae mnoo, alinionesha ile truly Love.Hii nzurii Sanaa π π
Congrats sister.Hey guys
Imeshawahi kutokea ile hali umemuona mtu mara moja tu ukatamani awe wako?
Imenikuta stendi ya mabus mkoa fulani kuja Dar. Siku nafika pale nikamuona mkaka mmoja amazing,sijui kwanini alikuwa ananiangalia vizuri namna ile...kimoyo moyo nikaweka sala fupi "ee Mungu huyu kaka hata nisipokaa nae seat moja naomba nisafiri nae bus moja tu" halafu nikamalizia na Amen,nikaingia kwenye bus
Nimefika kwenye bus nikakaa nikiendelea kusali sala ile ile ya Mungu asaidie yule kaka kuwepo ndani ya bus nililopo,nikajisemea ngoja nitoke ndani ya bus nijifanye naenda washroom ili nimuone hata mara nyingine,nikatoka nikaenda washroom
Mungu ni mkuu jamani, nilivyotoka washroom nikaingia ndani ya bus nikamuona yule kaka ndani ya lile bus, mimi namba 9 yeye 10
Sikuwahi kuona safari fupi kama ile japo kiuhalisia ni safari ndefu mnoooo, masaa yalikimbia fasta kinyama huku tukiwa tumezoeana kama vile tulikuwa tunafahamiana kabla.
Hiyo ni mwaka mmoja uliopita tarehe kama ya leo,tumekamilisha mwaka with my man [emoji4][emoji4] Japo haiwahusu wala haiwasaidii kitu lakini nawaambia tu...nampenda huyu mwanaume
Naona kila kitu changu kinampenda,macho yakimuona napata ile amani ambayo siipati kwa yoyote,mwili wangu umemkubali mana nina hisia kali sana juu yake,nikiisikia sauti yake napata ile hamasa ya kuendelea kumsikiliza akiongea hata kama haongei na mimi
Sijawahi kuwa mdau ya ngono lakini tangu nikutane naye nataka kila muda tuwe peke yetu chumbani
Cheers to many years with my man [emoji1635]
Am so in love!