am greatHahahah hello sir
Hakuna luv at first sight hizo ni infatuation.
nadiegirlie
Ila hii duuhh mm nahsi n tamaa za mwili tu
Hakuna kitu kama hicho,hauwezi kumpenda mtu kwa mara ya kwanza,luv inajengwa kwa mda mrefu na si papo kwa papo,hizo ndio zile mademu wanavyokuwa wakiona mastar yaani wanachanganyikiwa hauwezi sema ndio luv at first sight hiyo ni INFATUATION.You don't believe in it?
We huamini kama hii kitu ipo
Goodnight[emoji42] [emoji42] [emoji99]Nataka tu kujua nani amewahi Kuwa experienced nayo na ilikuwaje
Hii ni hatari nadiegirlie....full nyota nyota kwa mboni, usiombeee mama.Nataka tu kujua nani amewahi Kuwa experienced nayo na ilikuwaje
Kumbe hadi hao kuna habar nilizisikia not so long kuhusu those two now it make senseN kweli ipo na nina amini kabsa
Mfano
John legend na mkewe ile n love at 1st sight
Hii ni hatari nadiegirlie....full nyota nyota kwa mboni, usiombeee mama.
Awapi...life is life tu, we acha ni story.Awwwww good for you.........bado Uko nae
Ilikuwa zamani when almost everything was real lakini sasa u fake fake kila umetapakaa tu,
Awapi...life is life tu, we acha ni story.
Hii kitu nzuri sana.
Yap at least...Sad........ Lakini at least ulipata experience na hii kitu
Wew je?.Sad........ Lakini at least ulipata experience na hii kitu
Love at first site imenipa hadi watoto, bado nampenda.