Kwangu CNN na MSNBC marufuku! Fox News all the way, all day, everyday.
Hehehe naona Jon Stewart alimshika pabaya Sean Hannity mpaka jamaa (Hannity) akaomba msamaha kwa kudanganya wiki iliyopita.
Angalau alikuwa muungwana na kuomba radhi....sidhani kama Keith Olberman anaweza kuomba radhi