jitwangabalogi
JF-Expert Member
- Aug 8, 2018
- 480
- 638
Walifunuliwa ndio maana wakajiongeza na michoro ya kishikaji kwenye mpango na miti...Shida Ni Sisi kufungua code .Hawakufunuliwa upande huo
Walifunuliwa ndio maana wakajiongeza na michoro ya kishikaji kwenye mpango na miti...Shida Ni Sisi kufungua code .Hawakufunuliwa upande huo
Noumaaa narobotatu
Mkuu wewe unajua.✊🏽Mentuhotep III
View attachment 3042225
Khakaure Senusret III
View attachment 3042226
Haya machache yanatuonesha kuwa utawala wa Misri ulikuwa chini ya mtu mweusi.