Loose ends Kifo cha Martha Towo

Kuna watu wanadharau Tanzania ila Kaa ukijua katika watu 60mill Kuna watu ni balaaa
 
Polisi wa bongo mavi kabisa, kungekua na pesa inahusika wangeshikwa mapema sana. Afrika nyokooo sana ndio maana ikapewa jina la bara la giza.
 
Namba 8 ni nadharia tu ambayo haina ukweli wowote ule,macho hayana memory card kama camera,tuache upotoshaji
 
Hao jamaa watakamatwa kama kumbi kumbi labda wachimbe shimo wajifukie huko walipo wanajuta kwa ujinga waliofanya hata wakilewa kila siku pana muda Pombe inapotea damu ya binadamu ni nzito sana...madili mengine wanapewa ya kijinga kabisa..
Kesi inaendeleaje mkuu?
 
Naona wameweka viwanja TAUSI, lile eneo ni hatari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…