Loose ends Kifo cha Martha Towo

Hii kwa asilimia mia moja imeanzia kazini kwa sababu inasemekana alikuwa mhasibu na alifukuzwa kazi. Sasa swali ni kwa nini alifukuzwa kazi? Je, kosa la kumfukuzisha kazi liliwahusu wengine? Je kuna uwezekano hao wengine waliohusika wakatumia mbinu za kumuondoa kuficha ushahidi? Hapa kazi ianzie kwa mwajiri na hsa aliyemwandikia barua. Ijulikane kama kuna vikao halali vya kisheria vilivyokaa na kama alipewa haki ya kusikilizwa kabla ya kufukuzwa kazi.Kimsingi mazingira ya kufukuzwa kazi ndo yanatakiwa yafanyiwe kazi kwanza.
 
Si mmesikia kisa cha yule mchaga wa kibaha? Afisa loan kilichotokea jana? Mfanyakazi wa benk ya zamani tawi la kwa wale wenzentu wasukuma? Enyi wanawake waruka njiani acheni utapeli wa kipuuzi pesa ya mwanaume hailiwi bure ona kilichomtokea mwanamke mwenzenu ujanja wa kibwege umemfanya wamrest in peace

Nikiwa mmoja wa majirani na close friend wa kusoma na kuhitimu school moja pale Tumbi wa yule mrembo nilimtahadharisha mapema Aache hiyo tabia yake ya kula pesa za wanaume ila kwa ujinga na ujuha akuwahi kunikisikia akaniona chizi ona sasa walivyo mrest in peace kwa sumu na then wakamburn na [emoji91].Wanawake waruka njia acheni ujanja ujanja pesa za wanaume haziliwi bure dadeki mbadilike sasa nasemaje yule mruka njiani wangu naenda kumburn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…