Je ungepenga kupunguza unene na kuwa na shep nzuri inayokubali nguo zote hili ni jibu lako Clean 9 ndio kiboko ya unene wa kila aina jamani call 0754/0715 297298 kwa ajili ya order.
Samahani kwa usumbufu ila kwa mfanyabiashara si vizuri kuelezea mambo kijuu juu namna hiyo na kutegemea watu watakuja kununua,bila mtu kupiga simu inatakiwa ueleze watu ni jinsi gani inavofanya kazi na side effect zake ni zipi mana naamini kuna watu tunahitaji hiyo dawa ila hatujapata maelezo na hatupo tayari kuingia gharama kupiga simu mana biashara ni matangazo na kama haujitangazi vizuri,sidhani kama utapata wateja
Ni dawa, Lishe, Mazoezi........? Eleza kwa mapana basi! Mko wapi, mnatoa huduma kwa gharama kiasi gani! Kwa ufupi bandika kitu kinajieleza Siwezi piga simu kama sioni kitu genuine kwenye product yako! Wewe sio wa kwanza kutoa huduma hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.