......loooo!!usipocheka una makusdi........comooooooon.... ..

......loooo!!usipocheka una makusdi........comooooooon.... ..

DavidHard

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2011
Posts
436
Reaction score
285
Pasta: "Ningekuwa na
uwezo,ningechukua BIA
zote
nikazitupe kwenye mto
Waumini:
Ameen! Pasta: Ningekuwa na
uwezo,ningechukua
KONYANGI
zote nizitupe mtoni.....
Waumini: Amen!
Pasta: Ningekuwa na uwezo,ningechukua
WINE na
WHISKY zote duniani
nizitupe
kwenye mto
Waumini: ameeen! Pasta: Yaani Ningekuwa
na uwezo
ningechukua VALUE
zote nizitupe
mtoni....
Waumini: Amen ameen! Pasta alipomaliza
mahubiri yake
akakaa chini KIONGOZI
WA KWAYA
(CHOIR) AKASIMAMA
NAKUSEMA "Fungueni vitabu vyenu
vya
nyimbo,tuimbe wimbo
wa 157
unasema.......
"NASI TUTAKUNYWA MAJI YA MTO
HUU"
Waumini:
Haleluuuuyuuyaaaah!!!
 
hapana kichukuacho mamia kama maji haya
 
hahhaha watalewaje waumini

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hapo ujue kuwa waumini ni wanywaji wakubwa isipokuwa walikuwa wakimkejeli Mungu wakidhani wanamkejeli Mchungaji wao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom