Looks at things different,see the bigger picture.

Youngblood

JF-Expert Member
Aug 1, 2014
19,428
56,794
Tafakari katika picha.
Tuambie picha gani umeilewa zaidi.
Au tupia picha ambayo unadhani inafanana na hizi.
1.
74939633f96b7bf34dc672435752503b.jpg

2.
a676ee8d9c25e95ec6426a2ee46551e5.jpg

3.
4ccb372a690d870c5de135daaa3951b6.jpg

4.
d8e586cf9600800ce8084abd63217b35.jpg

5.
172a1f8ec8871126ed15041df60f15e2.jpg
 
Yaani dogo hana mikono lakini anapiga kazi kama kawaida, jamaa mzima wa viungo kakaa chini anaomba
 
picha ya Kwanza ni Waafrika tulipo.

picha ya pili Siasa za Tanzania hasa wapinzani.

picha ya tatu Rais Wetu anakata vitu ambayo yeye anavifanya' kisiasa zaidi.

picha ya Nne mafisadi, wapiga kura wa tanzania.

picha ya Mwisho Tabaka ya alie nacho na asie nacho.
 
Hayo maelezo ya namba tatu watasema ni uchochezi
 
Hata mie hii nimeinyaka nyingine totoro.

Pole sana,
Hii hapa chini jamaa yupo buzzy kukata miti, lakini jua lilipompiga alitafuta mti wa kujikinga na kivuli, lakini pamoja na huo mti aliojikinga nao jua, tayari keshautia shoka, so ukianguka na huo kesho atapata wapi kivuli?

image.jpg
 
Hivi vipicha vya January Marope. Hii nilikuwa nahisi hebu nitafsirie ya no smoking.

Haa umenikumbusha jamaa alivyokuwa na kinyongo cha kukosa Uwaziri Mkuu, yaani hasikiki kabisa,
Hiyo picha jamaa anashangaa sigara inakatazwa kwa minajili ya uchafuzi wa halimya hewa, lakini pembeni kuna Mitambo inatema moshi kuliko maelezo
 
Uko vizuri sana mkuu.
 
picha namba 2 (wafanya usafi) tafsiri: kila mmoja wetu anapambana kujali hitaji lake. tuko tayari kuwaangushia lawama/kero watu wengine iki mradi malengo yetu yatimie
 
Back
Top Bottom