Siyo imetulia tu bali inaita pia.yaa ni kweli blue imetulia!
mi nimependa huyo wa kaptula nyeupe/t-shirt ya brown.yaa ni kweli blue imetulia!
bro that means u didnt see the one in a blue gawn???mi nimependa huyo wa kaptula nyeupe/t-shirt ya brown.
mimi nimeona purple...mmeiona????//
Darling tunakula kwa macho tu.Wakware utawajua tuuu.
tumeona lakini white shorts is my choice.mimi nimeona purple...mmeiona????//
Blue nimemuona lakini 1,carolite imehusika, 2.nywele za kununua. Huyu wa kaptura 1.rangi ya asili, 2.nywele za kuzaliwa, 3.alivyoingiza mikono mifukoni inaonyesha u-carefree flani naoupenda.bro that means u didnt see the one in a blue gawn???
Darling tunakula kwa macho tu. tumeona lakini white shorts is my choice. Blue nimemuona lakini 1,carolite imehusika, 2.nywele za kununua. Huyu wa kaptura 1.rangi ya asili, 2.nywele za kuzaliwa, 3.alivyoingiza mikono mifukoni inaonyesha u-carefree flani naoupenda.
hapana boss tusim-label binti wa watu hatumjui maskini.u carefree= umlupo sio?lol
Wakware utawajua tuuu.
hapana boss tusim-label binti wa watu hatumjui maskini.
namaanisha yuko very comfortable alipo na usimamaji wake unaonyesha kujiamini na tungeweza kuona mpaka chini na hakika kavaa viatu simple tu i bet vya chini(gladiators) sio high heels or wedges.sijam label....nimezungumzia maana yako ya carefree...
labda utueleweshe lol
nyie ndio mnauziwaga mbuzi kwenye gunia,hapo kanga imefunika nusu nzima au wewe ni mpenzi wa masaburi ?View attachment 38856
Hapo nilipozungushia, mwenzenu huwa NAUGUA KWA MAWAZO NTAMPATAJE!
namaanisha yuko very comfortable alipo na usimamaji wake unaonyesha kujiamini na tungeweza kuona mpaka chini na hakika kavaa viatu simple tu i bet vya chini(gladiators) sio high heels or wedges.