Habari wana JF, kwa yeyote mwenye kitabu cha university physics 13th edition kilichoabdikwa na roger freedman na anahitaji kukiuza au anajua mahala panapouzwa hicho kitabu anijuze

Mimi ninavyo vya university physics vya Rodger freedman na young volume 1(2000) na vinginevyo,kwani unataka hicho tu,ngoja nikacheki kwenye library yangu kila umejipanga kipesa vizuri?