Looking for soul mate

Looking for soul mate

Ana 30+ mwanamke healthly atakiwi kuzaa above 35 sasa km mini nataka watoto saba ataweza nizalia? Kwa tafsiri ya haraka 30 kwa mwanamke ni bibi huyo.

Huitaji kutumia nguvu kumkataa,km hakidhi viwango vyako ujue si soul mate wako.
Relax.
Maisha lazima yaendelee
 
Kipindi unabalehe ulikua unafanya nini mpaka utafute bwana saizi au umeachida kwa ukaka udada na utata wako weka namba ya cm nikupigie uwe my concubine
 
Hapo kwenye mdada mkaka ndio pananitatiza mm.Naogopa kukuPM tuongee zaidi,hebu toa ufafanuzi zaidi wa hayo maneno...icjekuwa unajinsia mbili alaf kwenye mahusiano ukataka kunigonga one day
 
Kipindi unabalehe ulikua unafanya nini mpaka utafute bwana saizi au umeachida kwa ukaka udada na utata wako weka namba ya cm nikupigie uwe my concubine

nadhani hii ni kwayeyeote anayehusika kwani ni lazima ucomment?y do we have to be this judgemental?
uchafu mingap umefanya who judge u?unataka ajiskiaje sasa dadA WA WATU?kwani akiwa 30 ndo haruhusiwi kua na mpenz?kama alikua na malengo yake kwamba asidate mpaka afikishe may be pesa kadhaa au miradi kadhaa n now she is ready how is that become yo problem?am sorry but sijapenda kujfanya msafi kiasi hiki get inspired o get angry it is yo call
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom