Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
- Thread starter
- #21
Karibu.Hehe funs...............sawa bwana mmarekani
Karibu.Hehe funs...............sawa bwana mmarekani
Looking for Promotion my Debut Song at your TV and Radio.
[
HahahaKibao muruwa sana,Kisandu ana kipaji
Hivi hilo Solo lisije kuleta hatihati za copyright unaweza ukafungwa tena.
Asante😅💃🏽💃🏽💃🏽
Mwimbo huo.. hongera sana..
Na hug shoulder nawe..🤩😃🤩
DuuuNgoma kali hii ungei extend iwe dakika saba.
HuiwiiiiiNouma sana, hhhaha tiss wa saizi uki view tu ww umeisha anakujua ndani nje
Askari magereza sio watu wazuri,kuna fyuzi wamemchomolea mwalimu KisanduKibao muruwa sana,Kisandu ana kipaji
Hivi hilo Solo lisije kuleta hatihati za copyright unaweza ukafungwa tena.
MPENDAZOWE kayeyuka kama mchezo!! Siasa ni kaa la moto.Mwenzio mpendazowe aliendaga wapi
Mimi siku hizi sio mwalimu. Na pia naitwa Don NalimisonAskari magereza sio watu wazuri,kuna fyuzi wamemchomolea mwalimu Kisandu
Mkuu mbona unamkana mwanachama wenu? Huyu ndiyo anakuja kumuondoa Ndugai kwenye kiti 2025.kuanzia lini?
Ahaa, askari magereza sio watu wema.Mimi siku hizi sio mwalimu. Na pia naitwa Don Nalimison
huyo ni mgombea wenu wa Urais 2010/15 kama sijakoseaMkuu mbona unamkana mwanachama wenu? Huyu ndiyo anakuja kumuondoa Ndugai kwenye kiti 2025.
Hiki chama kikuu cha upinzani Tanzania kiko mioyoni mwenu.. Mnakikiri , mnakikubali ila machoni pa watu mnaficha uhalisiaAsante mgombea urais kupitia Chadema