Looking for my soulmate and future husband

Looking for my soulmate and future husband

Joy3323

Member
Joined
May 24, 2015
Posts
13
Reaction score
6
Hello my fellow JF Members,

Mimi ni msichana mwenye miaka 33, msomi, na ni muajiriwa Serikalini. Carreer-wize I am doing ok but I think it's about time I meet my future husband & soulmate wangu.

I would like him Awe na umri kuanzia 33-45,awe mrefu, mwili wa wastani, rangi it doesn't matter, awe na kazi, na awe mcha Mungu. Kama una vigezo hivyo muhimu.

Please feel free to PM me

Asante
 
Kila la heri nilitaka kusema neno zaid ila ngoja niishie tu apa
 
Thanks franky for the comment. But vigezo nilivyo vitaja hapo ni muhimu zaidi kuliko hizo six pack! Ila akiwa nazo itakua like a bonus i think.
 
Ila naomba unaponi-PM; jaribu kujielezea kidogo kuendana na hvyo vigezo nilivyotaja ili niweze kukuelewa vizuri. Lakini I want to thank you all mlio niandikia so far. Asanteni sana!
 
Wadada mngekuwa mnaweka ppicha zenu humu
muone 'ndoa ' zitakavyomiminika
 
Back
Top Bottom