looking for job

korino

JF-Expert Member
Dec 6, 2011
1,004
659
habari zenu wanajamii...me ni msichana mwenye umri wa miaka 25 nimegraduate bachelor of business adminstration last year! natafuta kazi katka mkoa wowote hapa tz! nawezafanya kazi ktk depatment zifuatazo; human resource,marketing,accounting and finance! pia naweza kufanya customer care na kazi yoyte inyoendana na nlichosomea! nisaidien jamani maisha ni magumu! na mliopata kazi tayari msitusahau wenzenu! ahsanten
 
hali ya mtaani ni mbaya ebu tengeneza plan B ya kujiajili kabla hujaajiliwa coz no ajira utasubiri mpaka unasahau kuwa wewe umegraduate
 
Usijali mama utapata ajira tu,we mtangulize mungu kwa kila kitu,maana wanaotaka ajira ni wengi mno,so only God can make wonders to u!
Usikate tamaa.
 
ni kweli uyasemayo kaka angu bt jinsi hali ilivyo cwez sema hata huo mtaji mdogo cna....ahsante lkn
 
Usijali mama utapata ajira tu,we mtangulize mungu kwa kila kitu,maana wanaotaka ajira ni wengi mno,so only God can make wonders to u!
Usikate tamaa.

shukran kaka ni kweli kabisa uyaseamayo! Mungu atatusaidia naamini hivyo...yaani nimeanza fanya interview cku nyingi mpaka leo hata interview sijawah itwa zaidi ya nssf nayo ndo hivyo!
 
Kwa sasa, tafuta eneo lolote hata kama kwa kujitolea ili upate uzoefu kwani waajiri wengi wanataka uzoefu licha ya taaluma uliyonayo dada. Siku njema
 
Ukipata internship popote itakusaidia sana. get out of that shell...being at home. Pia being a trainee kama wasomaji wenzangu wanavyoshauri, bora ujitolee kwa muda na watu wataona uwezo wako...

Mfano mzuri ni hapa nilipo, ninao trainees wa vyuo mbalimbali,baadhi ya waliofanya vizuri tumewapa kazi(P.E.C)na waliofanya vibaya tumewashauri kwani kutoweza si asili wala mwisho wa mafanikio, Waliojitahidi tumewapa (T.E.P)na wale ambao wanarudi vyuoni ku-submit research zao tumewapa vyeti vya umahiri.

Ukipata nafasi unaitumia..usiulize salary scale wakati wa training/internship...ufanyacho kitashuhudia.
Kwa ushauri zaidi tuendelee kuwasiliana.
Pia hongera kwa kuwa muwazi kwani naamini wanajamii kila mtu ana kazi yake na fani yake hivyo ni rahisi kusaidika hata kama ni ushauri.
Pia naungana na ndugu yangu KALIJOSE katika suala la UZOEFU MBALI YA TAALUMA ULIYONAYO.

UTAFANIKIWA 100%
 
Kwa sasa, tafuta eneo lolote hata kama kwa kujitolea ili upate uzoefu kwani waajiri wengi wanataka uzoefu licha ya taaluma uliyonayo dada. Siku njema

ahsante ila nimejaribu kupeleka barua pamoja na cv ktk kampuni zaidi ya 3 kwaajili ya kuomba kujitolea kufanyanao kazi bila malipo yoyote yoyote lkn pia wamenijibu hawana nafasi na barua wamenijibu kwa njia ya posta..
 
mkiambiwa chukueni Education mnaona ni uchuro,ona wenzio tumeshaanza kuponda hela za JK,Haina shida we kuwa na subira utapata tu!
 
si bora nikawe hata mgambo wa jiji kuliko kuwa ticha.
 
acha matusi na dharau ya ajira ya mtu mungu ataachana nawe. Hata mimi natafuta za social science sijapata navumilia huc na nalima napata hata hela za capply.
 
ahsante ila nimejaribu kupeleka barua pamoja na cv ktk kampuni zaidi ya 3 kwaajili ya kuomba kujitolea kufanyanao kazi bila malipo yoyote yoyote lkn pia wamenijibu hawana nafasi na barua wamenijibu kwa njia ya posta..

pole mwaya...kazi zipo na utapata tu..this might help 1.peleka cv na vyet pale FINCA mwembechai..awa jamaa wanaajir kila cku 2.Advans bank tanzania naskia wanafungua matawi mapya so wanaitaj watu..so wacheki kwny site yao 3. kama una gpa nzur kaombe kufundisha. cku izi kuna business colleges nyingi watakupa ata part time..4. funga na umuombe Mungu upate kaz..n don give up
 
habari zenu wanajamii...me ni msichana mwenye umri wa miaka 25 nimegraduate bachelor of business adminstration last year! natafuta kazi katka mkoa wowote hapa tz! nawezafanya kazi ktk depatment zifuatazo; human resource,marketing,accounting and finance! pia naweza kufanya customer care na kazi yoyte inyoendana na nlichosomea! nisaidien jamani maisha ni magumu! na mliopata kazi tayari msitusahau wenzenu! ahsanten

POLE dada yangu. haupo peke bali na mm nimo katika hizo pilikapilika.

Ushauri wangu
Pindi uonapo tangazo usiache kutuma maombi Pia usiache kusambaza barua kama wenzangu walivyo kuambia sehemu tofautitofauti hata kama hawajatangaza.

Hivi ni vita dada yangu tusiache kupambana mpaka tupate ushindi ingawa itachukua muda ila TUSIKATE TAMAA.

NB: ''BETTER LATE THAN NEVER''

MUNGU YUPO NASI NAAMINI ATATUSAIDIA
 
pole mwaya...kazi zipo na utapata tu..this might help 1.peleka cv na vyet pale FINCA mwembechai..awa jamaa wanaajir kila cku 2.Advans bank tanzania naskia wanafungua matawi mapya so wanaitaj watu..so wacheki kwny site yao 3. kama una gpa nzur kaombe kufundisha. cku izi kuna business colleges nyingi watakupa ata part time..4. funga na umuombe Mungu upate kaz..n don give up

anonymous_007 umenipa wazo zuri sana hapa, ahsante sana. Hii idea ya kusomesha buisness college imeanza kunivutia. Suali kwako na wana JF kwa jumla nitapata wapi list ya business colleges? kuna yeyote anaejua kama kuna college inayotafuta trainers wa IT/ICT?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom