Nafasi za kazi, kujitolea au mafunzo kazini (internship)

fyegu

Member
Oct 17, 2017
50
51
Habari wana jf,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za word, excel, PowerPoint.

Lakini pia nina ujuzi katika strategic management, public policy analysis, customer care, performance Management, human resources management, pia Niko vizuri katika research asa katika data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.

Natafuta kazi either ya kujitolea au temporary kwenye taasisi yoyote hata kwenye business sector naweza kufanya Kama customer care, HR, Administrator, etc.

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.

Nipo Dar es salaam lakini naweza kusafiri mahali popote nafasi itakapo patikana.

Asanteni sana
 
Nenda ofisi za TAESA kwa ajili ya nafasi ya internship
 
Mkuu tafuta kazi acha kujitolea ni utumwa sasa wewe utaishije kula nauli na Mahitaji mengine?
 
Ni kweli Kaka lkn baadhi ya ofisi wanatambua uwepo wako sometimes wanafacilitate transport and meal.
Chache sana wengi hawatoi na wakitoa basi wakunyime au wakupe kidogo tofauti na inayotoka
 
Habari wana jf,

Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 25, Ni mhitimu wa chuo kikuu, nimesoma Bachelor of public administration na kuitimu mwaka 2020, Nina ujuzi Mkubwa wa kutumia computer katika program za word, excel, PowerPoint.

Lakini pia nina ujuzi katika strategic management, public policy analysis, customer care, performance Management, human resources management, pia Niko vizuri katika research asa katika data collection, data analysis kutumia excel, presentation, Leadership, Report writing Na nina uwezo mzuri wa kutumia lugha ya kiingereza.

Natafuta kazi either ya kujitolea au temporary kwenye taasisi yoyote hata kwenye business sector naweza kufanya Kama customer care, HR, Administrator, etc.

Nahitaji msaada wenu ndugu zangu Kwa yeyote mwenye kazi au connection yoyote itakayo niwezesha kufikia lengo langu nitashukuru sana.

Nipo Dar es salaam lakini naweza kusafiri mahali popote nafasi itakapo patikana.

Asanteni sana
Kila la kheri mkuu, ulivyojieleza hapa na kwenye field Kama ni hivi utafanikiwa.
 
Unajua maana ya kujitolea au internship? hata chapa hakuna! sasa nje ya Dar utaishije? wakati deal zako zipo Dar?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom