Looking for a Company in Cairo

audacious

JF-Expert Member
Mar 28, 2012
239
391
Wadau natumai mko poa..
Nimebahatika Kutembelea Cairo hapa Misri kwa Ma pharao's.Nipo mitaa ya Ramses hapa.

Nina siku mbili katika Jiji hili la Waarabu kama kuna Mtz yuko hapa lets keep in touch.

Akiwa mwanamke itapendeza Zaidi ,kama Rais ni Mwanamke lazima Tuheshimu Women Power.(Au nasema Uongo ndugu zangu?).
 
Wewe shida yako kubwa ni mwanamke, vijana wa siku hizi sijui vipi, jichanganye uko uko utawapata tu,kutafuta hapa ni Sawa kwenda msituni unawinda nyumbu unaenda na mbuzi kuwinda
 
Back
Top Bottom