Look at this: Huu ni Ujinga Hama ni Nini?

Look at this: Huu ni Ujinga Hama ni Nini?

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
15,206
Reaction score
25,398
20250626_175444.jpg


"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.

Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.

Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.

Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.

Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."

C&C
 
Back
Top Bottom