Look at this: Huu ni Ujinga Hama ni Nini?

Look at this: Huu ni Ujinga Hama ni Nini?

View attachment 3384730

"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.

Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.

Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.

Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.

Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."

C&C
Chong Lee Masanja🤣🤣
 
😅😅😅Mkuu hapana
Ila kuna funzo nimelipata, nikiwa na nafasi na ya kukutana na hawa binadamu wenzetu nitakua na ujumbe wa kuwapa waelewe mambo mapema
Hawashauriki hao.

Uliwahi ona ile picha mbuzi akipigiwa gitaa?

Basi fanya kwa sababu una nafasi na kuweka kumbukumbu kwamba uliwahi toa ushauri, ila vinginevyo hii lesi ikiona pesa anahisi kufa + kuchanganyikiwa...
 
Hajakosea!!

Binti akizaa halafu hajapata Punda wa kumbebea mizigo Huwa wanaweweseka sana!!

Siku akipata punda TU hata ukoo wa kichina hatoufikiria tena!!
Kweli mkuu mwanamke aliyezalishwa bila ndoa na Mwanaume aliye mzalisha hajulikani kwao Mwanamke, huyu ni wakumkimbia siyo wakuanzisha nae Mahusiano. Mzigo wa Mtu mwingine atakusukumia wewe ubebe kwa miaka zaidi ya 20.
 
Duh aiseee mjinga sana. Kajidangisha kwa mchina weee haya mateso anataka kuyaleta kwa mtoto daah
Baada ajidangishe kwa Wazungu wa Ulaya yeye ameenda kwa walala hoi, yani Wanawake wangejua mara mia wazae na Mtanganyika kuliko mchina na Mzanzibar, Maana Wazanzibar hawana tofauti na Wachina kwenye jambo la kuhusu mtoto.
 
Nini unaweza kufikilia na kuwazua juu ya watoto wetu wa kike na dada zenu kutokana na tukio hilo?.
Madada wa kitanzania na wa kiafrika kwa ujumla huwa wanaona kuzaa na mtu wa race nyingine hasa hao pale races ni aina fulani ya prestige, na mara nyingi huwa wanaassume kwamba itakuwa ni rahisi mtoto huyo kupata uraia wa baba yake uko anapotoka, na ndio maana wakitongozwa tu na mchina au mzungu hawajiulizi mara mbili yaan chap tu wanamvulia chupi wanashika na mimba hapo hapo. Baadae ndio wanakuja kujua kwamba waliingia choo cha kiume, kikubwa nachokiona kwao ni ulimbukeni na kuwadharau kaka waswahili wenzao.
 
View attachment 3384730

"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.

Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.

Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.

Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.

Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."

C&C
Kama una taarifa zake jina lake kamili nenda ubalozi wa china utapewa taarifa zake kuwa china yuko wapi pia hadi number china wako vizuri taarifa xa wananchi wao
 
tupate na IQ za kichina kidogo
IQ inachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na vyakula pamoja na mazingira aliyokulia mtu, huyo dogo wa kichina kama atakulia manzese atakuwa ni mwizi wa simu na kuku tu kama walivyo vijana wenzake wa kiswahili.
 
Wengi wao huwezi kuwashauri hasa wakihisi kuna pesa mahali ushauri hauna maana.

Alifurahia kutunzwa akasahau kazi ya nye ge zikiingia kuwa zina matokeo.

Leo anatutamani wabongo wakati ule ungemtongoza angekuangalia kama kitunguu kilichooza.

Huyu halilii ndg wa mtoto bali analilia matunzo.

Mchina goo
Na hapo unakuta alimpiga chini mpenzi wake fundi Maiko kisa mchina, sasa hivi anatamani huyo mtoto angezaa na maiko.
 
Nashangaa huyu dada wachina walivyo bahili sijui alishobokea vipi
Ubahili wa mchina Mpare weka pembeni
Jombaa kwa taarifa yako tu Mchina,Muhindi na Mzungu hawahitaji kufungua wallet hili wawatombe hawa dada zetu wa kiswahili, hawa madada wa kibongo wana ulimbukeni mkubwa sana linapokuja suala la interracial dating, huwa wanaona fahari kutoombwa na ngozi nyeupe na tena huwa wanapenda kuzaa nao sana, sio lazima pesa itumike, yaan demu wa kibongo akitongozwa na Mzungu au mchina anaweza asikumbuke hata kupima ukimwi.

Hawa madada wa kibongo wanakuwaga na standards kwa sisi waswahili wenzao tu lakini sio mzungu au mchina.
 
"Bora angemchukua mtoto" haina tofauti na kutupa mtoto.

Fanya hivi, andika barua wasifu wa huyo baba mtoto na picha yake. Tafuta nauli beba mtoto nenda zenu Guangzhou. Ukifika huko tafuta mahali umuache huko na ile barua, fanya kunyata urudi haraka upesi siku hiyo hiyo. Hama mkoa. Unaanza zako maisha mapya singo ledi no baggages! ! !

DIJAY

View: https://youtu.be/DrA8AePkkmM?si=V9XYDFRwRfwPQOGE
 
IQ inachangiwa kwa kiasi kikubwa sana na vyakula pamoja na mazingira aliyokulia mtu, huyo dogo wa kichina kama atakulia manzese atakuwa ni mwizi wa simu na kuku tu kama walivyo vijana wenzake wa kiswahili.
wa kuku was necessary here?🤣🤣
 
Back
Top Bottom