EvilSpirit
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 13,278
- 20,898
Beautiful baby
Haha ni hela kakosa au Nini , maana angekua na hela asingesema mtt aende na babake, by the way pole yake utam kolea kakachezeshe Yale madogoli Yao ya kichina😆View attachment 3384730
"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.
Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.
Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.
Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.
Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."
C&C
😅😅😅Mkuu hapanaUnataka kusimamisha umri wako ukisubiri kakue?, hihihiiiii..!
AiseeView attachment 3384730
"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.
Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.
Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.
Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.
Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."
C&C
Jinsia yake ni Bruce leeKatoto kazuri hako?
Ni jinsia gani?
View attachment 3384730
"Habari Dada samahani naomba unipostie najuta sana dada ako katoto nilizaa na mchina aliyekuwa kwenye mradi wa ujenzi wa barabara.
Mradi ulipoisha akahamia sehemu nyingine, baada ya kujifungua alikuwa ananihudumia vizuri sana na alisema watakapomaliza mradi tutaondoka wote.
Sasa ni miezi kadhaa imepita hapatikani kwenye simu, eneo aliloniambia alienda nilienda ila hayupo kuna rafiki yake nilitafuta namba yake nikaipata ila aliniambia kasharudi zake china.
Dada nina mtoto ambaye hatamjua baba ake wala ukoo wake ni bora ningezaa na mtu ambaye ni wa hapa hapa nchini angalau hata akinitelekeza nitajua wapi kwao na mtoto atawajua ndugu zake hata kama hataenda kwao.
Ila sasa huyu mchina najuta sana nimetelekezewa mtoto bora angemchukua tu mtoto akaniacha mimi!."
C&C
Ujinga na tamaa ya kutaka kutoka na watu wa nje wakidhani watepelekwa huko kumbe wanavuliwa chupi tu. Kina dada rudini shule, maisha hayana mkato, msione kina Lulu Diva na Wema wachanganikiwa maishani hivi sasa kwa kubaka matunda na kujirecord mitandaoni, yale ni matokeo ya kucheza na maisha.Nini unaweza kufikilia na kuwazua juu ya watoto wetu wa kike na dada zenu kutokana na tukio hilo?.