Loo Maskini..hii ni Tanzania??

Loo Maskini..hii ni Tanzania??

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,092
531211_333495783403038_1392793905_n.jpg
 
hapana mi naona kama vile ni congo au south sudan,,na wala si tanzania coz tanzania inamadini,mali asili,na viongozi safi pamoja na siasa safi mkuuu
 
Mungu na atupe uzima tuwalee watoto mpk wakue, amini ucamini ukiondoka duniani watoto wangali wadogo ni taabu kwao. Yaweza kuwa na wako kesho usipokuwepo..... Usikataaeee akikwitaaaa ule wimbo unaumiza sana
 
Halafu twajisifu duniani kwamba tuna Amani,what a joke?!!!
 
haiwezekani...tanzania kuna neema, serikali sikivu na wachumi wa daraja la kwanza na chama kinachojali wanyonge
 
Mhh, am trying to convince my mental faculties to absorb this! Tanzania? Land of peace? What peace? God will punish us for failure to make a better life for these kids.
 
Mhh, am trying to convince my mental faculties to absorb this! Tanzania? Land of peace? What peace? God will punish us for failure to make a better life for these kids.

Stop my giving votes for those who do not deserve!
 
Inaweza ikawa Tanzania the kid looks health tofauti sana na wale wa picha za Sudan, naona anakaa tu sehemu yenye vmbi na lbda yuko machungani akachoka akaona ajilaze
 


Hakika ndivyo Ndg zetu wengine wengi wanavyoteseka na bado wamo ndani ya wapiga kura wa Tanzania Bara na hata Visiwani!

Yani haina maana yeyote ya Tz yetu kuwa huru,na kama watapenda kuwa huru hakika kuna viongozi wa kuwapeleka mahakamani mpaka kieleweke!

Eti Tanzania ya miaka 51 ya UHURU!!

Yani viongozi wa chama tawala wanastahili kunyongwa mpk mauti iwafikie mbele ya familia zao!

Haikubaliki kamwe!
 
Hakika hajaiona! Na nafikiri kuiona ni ngumu jamani kwa hali aliyonayo ya kufly kwa siku 331 tangu awe madarakani juu ya anga na bila kuwa jali wapiga kura wake!

Hili la Watanzania itawapeleka kubaya!



Mzee Rais Kikwete mwenyewe hajaiona hii picha? Mbuzi Mzee
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom