B bantu.garage JF-Expert Member Oct 13, 2015 1,436 503 Mar 17, 2016 #3 Hakuna aibu....hapo beby atazuga nilikuwa na kutesti kwani nilikwisha kukuona....na Mzee utakubali..penda usipende
Hakuna aibu....hapo beby atazuga nilikuwa na kutesti kwani nilikwisha kukuona....na Mzee utakubali..penda usipende
Totos Boss JF-Expert Member Dec 30, 2012 5,456 1,567 Mar 17, 2016 #6 Kawaida sana tu. Unazuga nilishakuona lakini nakutania tu