Jogoolakiume
Member
- Mar 8, 2013
- 15
- 4
Nilikuwa napenda sana mahusiano ya mbali lakini sikuhizi siyataki baada ya mwenzangu kutoonyesha kuni..miss au kuwa na hamu na mimi wakati hatujakutana siku nyingi...Halaf simu yake hata akienda kuoga anaenda nayo sijui anaficha kitu gani wakati sijawahi kuichunguza hata siku moja...nataka nimwambie tuachane kwasababu sina raha nae..kuna ubaya nikijitoa wadau..?