dada white
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 1,228
- 515
utakimbia wangapi dunia hii na mapenzi ya siku hizi yanatuchanjia kichizi kutokana haya matumizi ya mtandao.Wenzio(gents) huwa wanajaribu kurepair mwanamke kabla ya kuchukua uamuzi wa kukimbia
Pole sana ila hayo mawazo pia siyo mazuri kwasababu wapo wanawake/wanaume ambao ni wanamapenzi ya dhati kwa wenzao sema tu hujampata ndo maana nakwambia hayo mawazo sio mazuri coz hata akitokea mzuri hutamwamini kwahyo usikate tamaa ndugu na usihakishe kuingia kwenye uhusiano kwanza kabla ya kuchunguza,tunachokosea ni pale umetoka kuachana na huyu maumivu hayajapoa unaanzisha mapya ukitarajia yatapoza maumivu kumbe ndo balaa zaidi matokeo yake unajikuta umekutana na watu wengi kwa muda mfupi lkn wote hawana afadhali.Haya makitu upuuzi sana. I lost a lot of my time collecting stones while leaving diamonds. Imenisababishia kutokuwa na interest kabisa na wanawake mpaka dada zangu.
kazi kweri kweriNo bwana kaa nae mueleze kabisa huna feelings nae kwa sababu ulizozisema na muambie live kuwa unaprogram ya kujitoa muda si mrefu.Maelezo yake ndo go ahead ya kweli ilishawahi kunikuta hata mimi nikaelezwa kuwa nimechange ila kumbe na mimi nilikuwa namdoubt mwenzangu hivyo hivyo nikawa nachat ya pembeni ili nijibembereze lakini sikutaka nicheat was simple flirt.
Ndiyo maana wimbo wa Brandy unanisikitisha ingawa pia naupenda kwa sauti na beat zake nzuri.
Asanteni Brandy na Bruno Mars kwa utunzi wake wa wimbo huu na mwisho kwa Mzee Dark Child.
Long Distance si mchezo bana na mkishinda huo mtihani kwa kweli mko mbali sana.