Long distance Relationship

Long distance Relationship

Km 350 au chini ya hapo
Unaweza kwenda kupalilia penzi jmos na jpl ukarudi
Kwa hiyo kama nipo dar mpenzi awepo maeneo ya gairo zaidi ya hapo ni kichapiwa tuu. So wale ambao wapenzi wao wapo dodoma wahesabu hasara🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo kama nipo dar mpenzi awepo maeneo ya gairo zaidi ya hapo ni kichapiwa tuu. So wale ambao wapenzi wao wapo dodoma wahesabu hasara🤣🤣🤣🤣🤣
Na kama yupo Arusha basi mchumba awe Moshi, Singida au Dom 🤣
 
Upo mrembo....naona umechekaaaa....imekukumbusha mahusiano yako na yule jamaaa. Vipi nyie umbali ulizidi 350km?
Yan unaninyamyasa balaa sikuhiz 😀😀😀nishapata jamaa mpya brand new 😂😂
 
Relationship ya kuonyeshana via vya uzazi kupitia simu ni upotevu wa rasilimali tu. Kwangu kama ni distance relationship isizidi 50km, yaani dar-bagamoyo, hiyo ni max.
 
Inategemea mfano mm familia yangu mimi na tuna watoto 7 wa4 wife yupo nao pale hao wa 3 mmoja anajitegemea anafanya kazi Songea,mmoja tena anajitegemea anafanya kazi mwanza uko mwingine yupo chuo Dar es salaam mwingine pale nyumbani kuna watoto wa 4 mmoja yupo for 3 mwingine for 2 mwingine kamaliza la saba juzi huyu mwingine yupo darasa la 5 wa mwisho mimi niko Arusha kikazi,lkn wife ana handle familia vzr tuu,japo changamoto azikosi za hapa na pale nikiwa na likizo narudi zangu Makambako nae akiwa na mda anakuja arusha mana uku Arusha pia tumejenga hivyo basi ni kielewana tuu watu wawili ila inatakiwa muwa matured sana na muelewane vizuri sana...
 
Yan unaninyamyasa balaa sikuhiz 😀😀😀nishapata jamaa mpya brand new 😂😂
Sikunya yasi bwana sii tunaongea ukweli.
Hongera kwa kupata brand new ila huyu natumai yupo karibu sio zaidi ya 350km ulipo. Inapendeza jamani mbususu muwatunuku wanaume sio mnapiga selfie na koza ya kitanda
 
Relationship ya kuonyeshana via vya uzazi kupitia simu ni upotevu wa rasilimali tu. Kwangu kama ni distance relationship isizidi 50km, yaani dar-bagamoyo, hiyo ni max.
Kabisa....purpose ya relationship ni kunyanduana daily....mambo ya selfie ya nini tena
 
Ni nzuri ila ina gharama yake

Mwanaume lazma uwe na kipato himilivu ili kuenjoy mapenzi ,,,familia iwe inapata mahitaji ipaswavyo,,

Mwanaume uwe na uwezo wa kuafford gharama za safari muda wowote na siku yoyote..
Isiwe kusafiri eti mpk ipatikane pesa....binafsi naenjoy...

Msipokuwa na hofu ya Muumba kuchepuka kunakuwa 50/50 both sides scores equal

Point yako hapo mwisho imemaliza kila kitu.Pigia mstari hapo.
 
Duh haya mahesabu basis yake ni nini? Ningependa kupata ufafanuzi.
Cost na muda.Umbali ukiwa mrefu sana gharama zinakuwa juu na muda unakuwa mrefu kusafiri,ikiwa ni Mtumishi inakulazimu kukutana na mwenzi wako mara moja moja tu.
 
Back
Top Bottom